Rais Erdoğan azungumza na waziri mkuu wa Uhispania, on September 12, 2020 at 7:00 am

September 12, 2020

Rais wa Uturuki Recep Tayyıp nErdoğan azungumza na waziri mkuu wa Uhispania  Pedro Sanchez kwa njia ya simu.Kwa mijibu wa  kitengo kinachohusika na mawasiliano ikulu  ni kwamba rais wa Uturuki na waziri  mkuu wa Uhispania  wamejadili kuhusu ushirikiano kati ya mataifa hayo mawili.Masuala tofauti ikiwemo  hali iliopo  katika ukanda imejadiliwa.,

Rais wa Uturuki Recep Tayyıp nErdoğan azungumza na waziri mkuu wa Uhispania  Pedro Sanchez kwa njia ya simu.

Kwa mijibu wa  kitengo kinachohusika na mawasiliano ikulu  ni kwamba rais wa Uturuki na waziri  mkuu wa Uhispania  wamejadili kuhusu ushirikiano kati ya mataifa hayo mawili.

Masuala tofauti ikiwemo  hali iliopo  katika ukanda imejadiliwa.

,

Article Categories:
Habari

Leave a Reply

Your email address will not be published. Required fields are marked *