R.Kelly ashambuliwa akiwa gerezani, noreply@blogger.com (Muungwana Blog 3), on August 29, 2020 at 10:00 am

August 29, 2020

Imeripotiwa kwamba Mwimbaji R.Kelly ambae yupo gerezani akisubiria kusikilizwa kwa kesi yake, ameshambuliwa na Mfungwa mwenzake wiki hii huko Chicago, Wakili wake amesema “hatujapewa taarifa yoyote na Uongozi wa Jela pia R.Kelly mwenyewe hajapiga simu, tunaimani hajapata majeraha makubwa”R.Kelly amekua akishikiliwa gerezani kwa zaidi ya mwaka mmoja akisubiri kusikilizwa kwa kesi yake ya madai ya unyanyasaji wa kingono, Wakili wake amesema pia kwamba imekua ngumu kufanya mawasiliano na Kelly toka ilipotolewa tahadhari ya corona ambapo hata kuwatembelea Wafungwa imekua ngumu.Wakili wake mwingine aitwae Doug Anton anasema taarifa walizopewa ni kwamba wakati wa kushambuliwa R.Kelly alikua kitandani kwake ndipo alipotokea Mfungwa mwenzake na kuanza kumpiga ngumi, ameongeza kwamba Kelly amehamishwa gerezani na kupelekwa sehemu nyingine ambayo itakua sahihi kwa usalama wake.,

Imeripotiwa kwamba Mwimbaji R.Kelly ambae yupo gerezani akisubiria kusikilizwa kwa kesi yake, ameshambuliwa na Mfungwa mwenzake wiki hii huko Chicago, Wakili wake amesema “hatujapewa taarifa yoyote na Uongozi wa Jela pia R.Kelly mwenyewe hajapiga simu, tunaimani hajapata majeraha makubwa”

R.Kelly amekua akishikiliwa gerezani kwa zaidi ya mwaka mmoja akisubiri kusikilizwa kwa kesi yake ya madai ya unyanyasaji wa kingono, Wakili wake amesema pia kwamba imekua ngumu kufanya mawasiliano na Kelly toka ilipotolewa tahadhari ya corona ambapo hata kuwatembelea Wafungwa imekua ngumu.

Wakili wake mwingine aitwae Doug Anton anasema taarifa walizopewa ni kwamba wakati wa kushambuliwa R.Kelly alikua kitandani kwake ndipo alipotokea Mfungwa mwenzake na kuanza kumpiga ngumi, ameongeza kwamba Kelly amehamishwa gerezani na kupelekwa sehemu nyingine ambayo itakua sahihi kwa usalama wake.

,

Article Categories:
Habari

Leave a Reply

Your email address will not be published. Required fields are marked *