Queen Darleen na mumewe wapata mtoto

October 11, 2020

Habari njema kutoka kwa ‘First Lady wa WCB, msanii Hawa Abdul maarufu Queen Darleen na mumewe Isihaka Mtoro, wamebahatika kupata mtoto.

Queen Darleen amejaaliwa kujifungua mtoto wa kike hii leo Oktoba 10, 2020 aliyepewa jina Balqis. Taarifa hizo za kupata mtoto zimetolewa na Queen darleen kupitia Instagram.

“Alhamdullilah🙏🤲 10.10.2020 Baby Girl @balqis.isihaka Thanks Allah”. – aliandika Queen.

,

Article Categories:
Habari

Leave a Reply

Your email address will not be published. Required fields are marked *