Polisi yasema Tundu Lissu hatakiwi tena kuripoti polisi

October 2, 2020

Katika barua yao Jeshi la Polisi badala yake limemtaka aendelee na ratiba za kampeni za uchaguzi mkuu wa Oktoba mwaka 2020.

Kwa mujibu ya barua iliyotumwa kwa Mwenyekiti wa Chadema, Freeman Mbowe, ilimtaka Lissu kuripoti polisi Ijumaa.

Taarifa hiyo ilisema anatakiwa kufika ili kuhojiwa kufuatia kauli na matamshi yake ambayo amekuwa akiyatoa kwenye mikutano yake ya kampeni dhidi ya maafisa wa polisi huku akimtuhumu Lissu kugombana na wakuu wa polisi.

Source link

,

Article Categories:
Habari

Leave a Reply

Your email address will not be published. Required fields are marked *