Pili Kitimtim Afunguka Makubwa “Nina Kibabu Changu cha Miaka 52, Dar Kugumu Sana”

September 6, 2020

Mchekeshaji na muigizaji Pili Kitimtim amefunguka kusema mahusiano ya hapa Dar Es Salaam ni magumu ndiyo maana hata yeye ana kibabu chake cha miaka 52 ambao wapo kwenye mahusiano kwa mwaka wa 10 sasa.Pili Kitimtim amesema suala la umri halimpi shida kwake kuwa kwenye mahusiano anachojali ni vigezo kutoka kwa mwanaume anayemtaka ambavyo kwanza awe mzee, mfupi, mnene mweusi.”Mimi nina mwanaume huu mwaka wa 10 sasa tunakimbizana hadi tunarogana tupo busy na mahusiano hatuachani leo wala kesho na kibabu changu hicho kina miaka 52 nakapenda sana, kwangu umri haunipi shida kwenye mahusiano ili mradi mwanaume awe mfupi, mnene, mweusi basi nachanganyikiwa” amesema Pili Kitimtim,

Mchekeshaji na muigizaji Pili Kitimtim amefunguka kusema mahusiano ya hapa Dar Es Salaam ni magumu ndiyo maana hata yeye ana kibabu chake cha miaka 52 ambao wapo kwenye mahusiano kwa mwaka wa 10 sasa.

Pili Kitimtim amesema suala la umri halimpi shida kwake kuwa kwenye mahusiano anachojali ni vigezo kutoka kwa mwanaume anayemtaka ambavyo kwanza awe mzee, mfupi, mnene mweusi.

“Mimi nina mwanaume huu mwaka wa 10 sasa tunakimbizana hadi tunarogana tupo busy na mahusiano hatuachani leo wala kesho na kibabu changu hicho kina miaka 52 nakapenda sana, kwangu umri haunipi shida kwenye mahusiano ili mradi mwanaume awe mfupi, mnene, mweusi basi nachanganyikiwa” amesema Pili Kitimtim,

Article Categories:
Habari

Leave a Reply

Your email address will not be published. Required fields are marked *