Piere Liquid Afumbwa na PISI Kali Sana…Mwenyewe Ajitetea…

September 7, 2020

Kamera za EATV & EA Radio Digital zimemfuma Mchekeshaji na mwanamitandao Piere Likwidi akiwa na Pisi moja wanapiga stori maeneo ya Sinza kisha kuita Uba na kuondoka zake.Kwa mujibu wa Piere Likwidi mwenyewe amesema Pisi hiyo ni rafiki yake wala sio mpenzi wake kama watu walivyodhani baada ya kumuona naye.”Huyu ni rafiki yangu kweli itabidi muamini hivyo, maana sio kila mtu mnayeniona naye kwamba ni moja, mbili au tatu hapa tunapiga stori tu” amesema Piere Likwidi,

Kamera za EATV & EA Radio Digital zimemfuma Mchekeshaji na mwanamitandao Piere Likwidi akiwa na Pisi moja wanapiga stori maeneo ya Sinza kisha kuita Uba na kuondoka zake.

Kwa mujibu wa Piere Likwidi mwenyewe amesema Pisi hiyo ni rafiki yake wala sio mpenzi wake kama watu walivyodhani baada ya kumuona naye.

“Huyu ni rafiki yangu kweli itabidi muamini hivyo, maana sio kila mtu mnayeniona naye kwamba ni moja, mbili au tatu hapa tunapiga stori tu” amesema Piere Likwidi,

Article Categories:
Habari

Leave a Reply

Your email address will not be published. Required fields are marked *