Picha za MKE wa Mwigizaji wa Black Panther Chadwick Boseman Aliyefariki Kwa Ugonjwa wa Cancer, noreply@blogger.com (Udaku Special)

August 29, 2020

Muigizaji   Chadwick Boseman  aliyetambulika kwa filamu ya Black Panther  amemuacha mjane   Simone Taylord ambaye bila shaka ni miongoni mwa waliokwazika pakubwa na kifo cha Staa huyo siku ya ijumaa . Simone ambaye ni mwimbaji  amekuwa ubavuni mwa Chadwick  katika hafla kadhaa  na pia wamekuwa wakionekanwakitembea pamoja .Tazama risala za rambi rambi za watu mashuhuri kufuatia kifo cha staa wa Black Panther Chadwick BosemanKinyume na mume wake anayefahamika sana na wengi kwa sababu ya kazi yake na mengi hayajulikani kumhusu  na ni mwaka wa 2018 ilipothibitishwa kwamba wapo katika uhusiano . wawili hao walijuana mwaka wa 2015,

Muigizaji   Chadwick Boseman  aliyetambulika kwa filamu ya Black Panther  amemuacha mjane   Simone Taylord ambaye bila shaka ni miongoni mwa waliokwazika pakubwa na kifo cha Staa huyo siku ya ijumaa . Simone ambaye ni mwimbaji  amekuwa ubavuni mwa Chadwick  katika hafla kadhaa  na pia wamekuwa wakionekanwakitembea pamoja .

Tazama risala za rambi rambi za watu mashuhuri kufuatia kifo cha staa wa Black Panther Chadwick Boseman

Kinyume na mume wake anayefahamika sana na wengi kwa sababu ya kazi yake na mengi hayajulikani kumhusu  na ni mwaka wa 2018 ilipothibitishwa kwamba wapo katika uhusiano . wawili hao walijuana mwaka wa 2015

,

Article Categories:
Habari

Leave a Reply

Your email address will not be published. Required fields are marked *