Orodha ya wachezaji waliosajiliwa siku ya mwisho ya dirisha la uhamisho Ulaya

October 6, 2020

Dakika 8 zilizopita

Theo Walcot kushoto,Edison Cavani na Thomas Partey

Thomas Partey: Arsenal Yakamilisha mkataba wa £45m kumsajili kiungo wa kati wa Atletico Madrid

Arsenal imekamilisha usajili wa Thomas Partey kutoka Atletico Madrid kwa mkataba wa muda mrefu baada ya kulipa 45.3m za kifungu cha ununuzi wake .

Mchezaji huyo mwenye umri wa miaka 27 kutoka Ghana aliichezea klabu ya Atletico Madrid mara 35 na kufunga magoli matatu na kuisaidia timu yake kumaliza katika nafasi ya tatu katika ligi ya La liga.

Arsenal imekamilisha usajili wa Thomas Partey kutoka Atletico Madrid kwa mkataba wa muda mrefu baada ya kulipa 45.3m za kifungu cha ununuzi wake .

Maelezo ya picha,

Arsenal imekamilisha usajili wa Thomas Partey kutoka Atletico Madrid kwa mkataba wa muda mrefu baada ya kulipa 45.3m za kifungu cha ununuzi wake .

Alicheza mara 188 baada ya kujiunga na klabu 2011.

Kiungo wa kati wa Arsenal Lucas Torreira amebadilishana na mchezaji huyo na kujiunga na Atletico Madrid kwa mkopo.

Edinson Cavani: Man Utd imemsajili aliyekuwa mshambuliaji wa PSG

Manchester United imemsaini aliyekuwa mshambuliaji wa Paris St Germain Edinson Cavani kwa uhamisho wa bila malipo.

Mchezaji huyo wa Uruguay mwenye umri wa miaka 33 , ambaye aliondoka PSG mwisho wa mwezi Juni ametia saini kandarasi ya mwaka mmoja.

Cavani alifunga magoli 341 katika mechi 556, ikiwemo rekodi ya magoli 200 katika mechi 301 akiichezea miamba hiyo ya Ufaransa.

Cavani alifunga magoli 341 katika mechi 556, ikiwemo rekodi ya magoli 200 katika mechi 301 akiichezea miamba hiyo ya Ufaransa.
Maelezo ya picha,

Cavani alifunga magoli 341 katika mechi 556, ikiwemo rekodi ya magoli 200 katika mechi 301 akiichezea miamba hiyo ya Ufaransa.

Pia ana magoli 50 akiichezea timu ya taifa ya Uruguay katika mechi 116.

Mechi yake ya kwanza akiichezea United inaweza kuwa dhidi ya klabu yake ya zamani PSG katika kombe la klabu bingwa Ulaya tarehe 20 Oktoba

Juventus: Federico Chiesa ajiunga na mabingwa wa Itali kutoka Fiorentina

Juventus imemsaini winga wa Italy Federico Chiesa kutoka Fiorentina katika makubaliano ambayo huenda yakawa na thamani ya £54m.

Mchezaji huyo mwenye umri wa miaka 22 anajiunga na mabingwa hao wa Itali kwa mkopo wa miaka miwili kabla ya uhamisho wa kudumu.

Chiesa alipitia klabu ya vijana ya Viola kabla ya kuandikisha kandarasi ya kudumu.

Juventus imemsaini winga wa Italy Federico Chiesa kutoka Fiorentina katika makubaliano ambayo huenda yakawa na thamani ya £54m.

Maelezo ya picha,

Juventus imemsaini winga wa Italy Federico Chiesa kutoka Fiorentina katika makubaliano ambayo huenda yakawa na thamani ya £54m.

Alijiunga na fiorentina na kuichezea mara 150 huku akiichezea Itali mara 19

Chris Smalling: Beki wa Man Utd ajiunga na Roma kwa mkataba wa kudumu.

Roma imemsajili beki wa Manchester United Chris Smalling kwa mktaba wa miaka miwili ulio na thamani ya £13.6m ikipanda hadi Yuro milioni 20 pamoja na marupuru.

Shirikisho la soka nchini Itali liliandaa stakhabadhi ya uhamisho huo dakika moja kabla ya kukamilika kwa dirisha la uhamisho nchini Itali.

Smalling mwenye umri wa miaka 30 , alihudumu msimu uliopita kwa mkopo katika klabu hiyo ya Itali na kuisaidia timu hiyo ya Paulo Fonseca kumaliza katika nafasi ya tano na hivyobasi kufuzu kwa kombe la mabingwa Ulaya.

Shirikisho la soka nchini Itali liliandaa stakhabadhi ya uhamisho huo dakika moja kabla ya kukamilika kwa dirisha la uhamisho nchini Itali.
Maelezo ya picha,

Shirikisho la soka nchini Itali liliandaa stakhabadhi ya uhamisho huo dakika moja kabla ya kukamilika kwa dirisha la uhamisho nchini Itali.

United na Roma zilikuwa zimeshindwa kuafikiana kuhusu dau la uhamisho huo

Arsenal: Matteo Guendouzi ajiunga na klabu ya Hertha Berlin kwa mkopo

Kiungo wa kati wa Arsenal Matteo Guendouzi amejiunga na klabu ya Bundesliga Hertha Berlin kwa mkopo wa kipindi chote cha msimu uliosalia.

Mchezaji huyo mwenye umri wa miaka 21 hajaichezea Gunners tangu waliposhindwa 2-1 na Brighton mnamo mwezi Juni ambapo alihusika katika mgogoro na Neal Maupay.

Mchezaji huyo wa Ufaransa alijiunga na Arsenal kutoka Lorient mwaka 2018, baada ya kuanza soka yake katika chuo cha mafunzo ya soka cha PSG.

Guendouzi
Maelezo ya picha,

Mchezaji huyo wa Ufaransa alijiunga na Arsenal kutoka Lorient mwaka 2018, baada ya kuanza soka yake katika chuo cha mafunzo ya soka cha PSG.

Aliichezea The Gunners mara 82 lakini hajawa katika kikosi cha kwanza cha timu hiyo msimu huu.

Rayan Ait-Nouri amejiunga na Wolvehampton Wanderer kutoka Olympiakos

Wolverhampton Wanderers wamemsajili mchezaji wa timu ya Ufaransa isiozidi umri wa miaka 21 Rayan Ait-Nouri, huku beki wa timu hiyo Ruben Vinagre akijiunga na Olympiakos.

Ait – Nouri mwenye umri wa miaka 19 anajiunga katika uhamisho wa muda mrefu kutoka klabu ya ligue 1 Angers.

Ait - Nouri mwenye umri wa miaka 19 anajiunga katika uhamisho wa muda mrefu kutoka klabu ya ligue 1 Angers.

Maelezo ya picha,

Ait – Nouri mwenye umri wa miaka 19 anajiunga katika uhamisho wa muda mrefu kutoka klabu ya ligue 1 Angers.

Mchezaji huyo mwenye umri wa miaka 21 , ambaye alicheza Wolves mara 70 tangu alipowasili kutoka Monaco 2017 alichapisha katika mtandao wa kijamii ili kumshukuru kila mtu katika klabu hiyo siku ya Jumapili.

Raphinha ajiunga na Leeds kutoka klabu ya Rennes kwa dau la £17m

Leeds United imekamilisha uhamisho wa winga Raphina kutolka klabu ya Rennes kwa dau linaloaminika kuwa £17m pamoja na marupurupu.

Mchezaji huyo mwenye umri wa miaka 23 raia wa Brazil ametia saini kandarasi ya miaka.

Ni mchezaji wa leed wa 13 kujiunga na klabu hiyo huku klabu hiyo ikimsajili Rodrigo na mabeki Robin Koch Diego Llorente.

Ni mchezaji wa leed wa 13 kujiunga na klabu hiyo huku klabu hiyo ikimsajili Rodrigo na mabeki Robin Koch Diego Llorente.

Maelezo ya picha,

Ni mchezaji wa leed wa 13 kujiunga na klabu hiyo huku klabu hiyo ikimsajili Rodrigo na mabeki Robin Koch Diego Llorente.

Raphinha alifunga magoli manane na kutoa usaidizi mara 7 katika mechi 36 akiichezea klabu ya Rennes.

Ben Godfrey ajiunga na Everton kutoka Norwich City

Everton imemsajili beki Ben Godfrey kutoka Norwich City katika makubaliano yalio na thamani ya £25m, ambayo huenda yakaongezeka hadi £30m.

Godfrey ,22 anajiunga na Toffees katika kandarasi ya miaka mitano. Ni mchezaji wa tano wa Everton kusajiliwa baada ya viungo wa kati Allan na Abdoulaye Doucoure, kiungo mchezeshaji James Rodriguez na beki wa kushoto Niels Nkounkou.

Everton imemsajili beki Ben Godfrey kutoka Norwich City katika makubaliano yalio na thamani ya £25m, ambayo huenda yakaongezeka hadi £30m.

Maelezo ya picha,

Everton imemsajili beki Ben Godfrey kutoka Norwich City katika makubaliano yalio na thamani ya £25m, ambayo huenda yakaongezeka hadi £30m.

Wachezaji Wengine ni

00:30 Ruben Loftus-Cheek [Chelsea – Fulham] mkopo

5 October – Uhamishi siku ya mwisho ya dirisha la uhamisho

23:45 Tosin Adarabioyo [Manchester City – Fulham] haijulikani

23:30 Facundo Pellistri [Penarol – Manchester United] £9m

23:15 Thomas Partey [Atletico Madrid – Arsenal] £45.3m

23:10 Robin Olsen [Roma – Everton] uhamisho wa Mkopo

22:30 Joachim Andersen [Lyon – Fulham] uhamisho wa Mkopo

22:30 Raphinha [Rennes – Leeds Utd] £17m pamoja na marufupurupu

22:30 Theo Walcott [Everton – Southampton] uhamisho wa Mkopo

21:57 Edinson Cavani [Unattached – Man Utd] Bila malipo

18:06 Alex Telles [Porto – Man Utd] £13.6m

09:02 Ben Godfrey [Norwich – Everton] £25m

23:00 Brandon Mason [Coventry – St Mirren] uhamisho wa Mkopo

22:04 Bongani Zungu [Amiens – Rangers] uhamisho wa Mkopo

21:59 Gary Woods [Oldham – Aberdeen] uhamisho wa Mkopo

21:22 Diego Laxalt [AC Milan – Celtic] uhamisho wa Mkopo

20:59 Marc McNulty [Reading – Dundee United] uhamisho wa Mkopo

19:39 Guy Melamed [Maccabi Natanya – St Johnstone]Uhamisho wa bila malipo

19:00 Daniel Finlayson [Rangers – St Mirren] uhamisho wa Mkopo

16:47 Greg Leigh [NAC Breda – Aberdeen] bila malipo

15:15 Kyle Magennis [St Mirren – Hibernian] dau lisilojulikana

13:00 Charlie Lakin [Birmingham – Ross County] uhamisho wa Mkopo

12:16 Josh Mullin [Ross County – Livingston] bila malipo

22:30 Cafu [Olympiakos – Nottingham Forest] uhamisho wa Mkopo

22:30 Daniel Gretarsson [Aalesunds FK – Blackpool] kwa dau lisilojulikana

21:00 Josh Knight [Leicester – Wycombe] uhamisho wa Mkopo

20:30 Riley McGree [Charlotte FC – Birmingham] uhamisho wa Mkopo

20:30 Chris Willock [Benfica – QPR] kwa dau lisilojuliakana

18:30 Tomas Esteves [Porto – Reading] uhamisho wa Mkopo

18:00 Chris Taylor [Bradford – Barrow] uhamisho wa bila malipo

17:30 Albert Adomah [Nottingham Forest – QPR] uhamisho wa bila malipo

17:04 Jack Aitchison [Celtic – Barnsley] Uhamisho wa bila malipo

15:00 Daniel Ballard [Arsenal – Blackpool] uhamisho wa Mkopo

11:00 Matt Millar [Newcastle Jets – Shrewsbury] uhamisho wa Mkopo

10:30 Jan Zamburek [Brentford – Shrewsbury] uhamisho wa Mkopo

10:00 Ashley Nathaniel-George [Crawley – Southend] kwa dau lisilijulikana

22:58 Sandro Ramirez [Everton – Huesca] Kwa uhamisho wa bila malipo

21:30 Marcel Ritzmaier [Barnsley – Rapid Vienna] kwa mkopo

21:30 Gerard Deulofeu [Watford – Udinese] uhamisho wa Mkopo

21:10 Sofiane Boufal [Southampton – Angiers] uhamisho wa Mkopo

21:01 Wesley Hoedt [Southampton – Lazio] uhamisho wa Mkopo

20:40 Nuno Da Costa [Nottingham Forest – Royal Excel Mouscron] uhamisho wa Mkopo

20:30 Jerome Sinclair [Watford – CSKA Sofia] uhamisho wa Mkopo

20:30 Adalberto Penaranda [Watford – CSKA Sofia] uhamisho wa Mkopo

20:29 Chris Smalling [Man Utd – Roma] £13.6m

20:00 Josh Cullen [West Ham – Anderlecht] Kwa dau lisilojulikana

19:33 Michael Cuisance [Bayern Munich – Marseille] uhamisho wa Mkopo

19:32 Rachid Ghezzal [Leicester – Besiktas] uhamisho wa Mkopo

19:30 Xande Silva [West Ham – Aris Thesolonika] uhamisho wa Mkopo

18:25 Federico Chiesa [Fiorentina – Juventus] uhamisho wa Mkopo

18:16 Tiemoue Bakayoko [Chelsea – Napoli] uhamisho wa Mkopo

17:30 Matteo Guendouzi [Arsenal – Hertha Berlin] uhamisho wa Mkopo

17:16 Guido Carrillo [Southampton – Elche] Uhamisho wa bila malipo

16:31 Ruben Vinagre [Wolves – Olympiakos] uhamisho wa Mkopo

15:55 Ignacio Pussetto [Watford – Udinese] uhamisho wa Mkopo

15:19 Douglas Costa [Juventus – Bayern Munich] Loan

14:48 Eric Maxim Choupo-Moting [Paris St-Germain – Bayern Munich] Free

14:00 Kristoffer Peterson [Swansea – Fortuna Dusseldorf] Undisclosed

10:31 Matteo Darmian [Parma – Inter Milan] Loan

10:00 Ryan Sessegnon [Tottenham – Hoffenheim] Loan

Rayan Ait-Nouri [Angers – Wolves] Loan

Ibrahima Diallo [Brest – Southampton] Undisclosed

Diogo Dalot [Manchester United – AC Milan] Loan

Jeandro Fuchs [Alaves – Dundee United] Undisclosed

Juan Foyth [Tottenham – Villarreal] Loan

Moise Kean [Everton – Paris St-Germain] Loan

Alfa Semedo [Benfica – Reading] Loan

Vitaly Janelt [VfL Bochum – Brentford] Undisclosed

Calvin Miller [Celtic – Harrogate Town] Free

Adrien Silva [Leicester – Sampdoria] Undisclosed

Tiago Silva [Nottingham Forest – Olympiakos] Undisclosed

Carlos Vinicius [Benfica – Tottenham] Loan

Rhian Brewster [Liverpool – Sheffield United] £23.5m

Vladimir Coufal [Slavia Prague – West Ham] £5.4m

Wesley Fofana [Saint-Etienne – Leicester] Undisclosed

Devante Cole [Doncaster – Motherwell] Free

Jermain Hylton [Motherwell – Ross County] Free

Dylan Bahamboula [Unattached – Oldham]

Dan Barlaser [Newcastle – Rotherham] Undisclosed

Keanan Bennetts [Borussia Moenchengladbach – Ipswich] Loan

Macauley Bonne [Charlton – QPR] Undisclosed

Tyrese Fornah [Nottingham Forest – Plymouth] Loan

Connor Malley [Middlesbrough – Carlisle] Loan

Danny Rose [Mansfield – Northampton] Undisclosed

Jon Russell [Chelsea – Accrington] Loan

Niclas Eliasson [Bristol City – Nimes] Undisclosed

Luis Suarez [Watford – Granada] £10m

Jordan Gabriel [Nottingham Forest – Blackpool] Loan

Emil Riis Jakobsen [Randers FC – Preston] Undisclosed

Marcus Maddison [Peterborough – Charlton] Free

Rodrigo Riquelme [Atletico Madrid – Bournemouth] Loan

Jake Taylor [Nottingham Forest – Scunthorpe] Loan

Yoan Zouma [Bolton – Barrow] Free

Sergino Dest [Ajax – Barcelona] £19m

Source link

,

Article Categories:
Habari

Leave a Reply

Your email address will not be published. Required fields are marked *