Oman imeukaribisha uamuzi wa Bahrain kuwa na uhusiano kamili wa kidipoloamsia na Israel, on September 13, 2020 at 6:00 pm

September 13, 2020

Oman imeukaribisha uamuzi wa Bahrain wa kuridhia kwa ukamilifu mahusino ya kidiplomasia na Israel. Taarifa hiyo ni kwa mujibu wa televisheni ya umma ya Oman.Taarifa hiyo inasema Oman ina matumaini njia hiyo mpya ya kimkakati ambayo inachukuliwa pia na baadhi ya mataifa ya kiarabu itafanikisha amani kwa msingi wa kuufikisha kikomo ulowezi wa Israel katika ardhi ya Wapalestina.Na vilevile kuongeza kwamba itaandaa mazingira ya taifa huru la Wapalestina lenye makao makuu yake Mashariki mwa Jerusalem.,

Oman imeukaribisha uamuzi wa Bahrain wa kuridhia kwa ukamilifu mahusino ya kidiplomasia na Israel. Taarifa hiyo ni kwa mujibu wa televisheni ya umma ya Oman.

Taarifa hiyo inasema Oman ina matumaini njia hiyo mpya ya kimkakati ambayo inachukuliwa pia na baadhi ya mataifa ya kiarabu itafanikisha amani kwa msingi wa kuufikisha kikomo ulowezi wa Israel katika ardhi ya Wapalestina.

Na vilevile kuongeza kwamba itaandaa mazingira ya taifa huru la Wapalestina lenye makao makuu yake Mashariki mwa Jerusalem.

,

Article Categories:
Habari

Leave a Reply

Your email address will not be published. Required fields are marked *