Niwaombe Watanzania tuhakikishe tunailinda amani, bila amani hakuna maendeleo- Hussein Mwinyi, noreply@blogger.com (Muungwana Blog 3), on August 29, 2020 at 1:00 pm

August 29, 2020

 Dodoma “Nitafanya kazi na kuendeleza pale alipoishia Rais Ally Mohamed Shein. Nitakwenda kwa ‘speed'” – Mgombea urais CCM Zanzibar, Dk. Hussein Ally Mwinyi.”Wanachama wa CCM nawaomba tusibweteke kwa kuwa tunakwenda kushinda kwenye uchaguzi mkuu, kikubwa tujitokeze kwa wingi siku ya kupiga kura” Mgombea urais CCM Zanzibar, Dk. Hussein Ally Mwinyi.”Niwaombe Watanzania tuhakikishe tunailinda amani, bila amani hakuna maendeleo, Kuna baadhi ya wanasiasa wameanza kutoa kauli za uvunjifu wa amani, Niwaombe tuwapuuze kwani amani ya nchi inajengwa na wananchi wake”. Mgombea urais CCM Zanzibar, Dk. Hussein Ally Mwinyi.,

 

Dodoma “Nitafanya kazi na kuendeleza pale alipoishia Rais Ally Mohamed Shein. Nitakwenda kwa ‘speed'” – Mgombea urais CCM Zanzibar, Dk. Hussein Ally Mwinyi.

“Wanachama wa CCM nawaomba tusibweteke kwa kuwa tunakwenda kushinda kwenye uchaguzi mkuu, kikubwa tujitokeze kwa wingi siku ya kupiga kura” Mgombea urais CCM Zanzibar, Dk. Hussein Ally Mwinyi.

“Niwaombe Watanzania tuhakikishe tunailinda amani, bila amani hakuna maendeleo, Kuna baadhi ya wanasiasa wameanza kutoa kauli za uvunjifu wa amani, Niwaombe tuwapuuze kwani amani ya nchi inajengwa na wananchi wake”. Mgombea urais CCM Zanzibar, Dk. Hussein Ally Mwinyi.

,

Article Categories:
Habari

Leave a Reply

Your email address will not be published. Required fields are marked *