Nina furaha sana kuwa Tanzania kwa wazazi wetu- Rais Ndayishimiye

September 19, 2020

 “Nina furaha sanasana kuwa Tanzania kwa Wazazi wetu Tanzania, kwanza naomba msamaha labda Kiswahili changu kitakuwa kibovu lakini nitajitahidi, mimi sikuzaliwa karibu na mpaka wa Tanzania, sikuzaliwa Bujumbura lakini nitajitahidi” Rais NDAYISHIMIYE“Zamani Watanzania wakiona Mrundi anakuja hapa walikuwa wanadhani kuna mambo mabaya Burundi ila sasa mimi nimekuja na salamu za Warundi wanawasalimia sana, kwa niaba yao nataka nikupongeze JPM kwasababu umejenga Tanzania, umeibadilisha Tanzania”” Rais NDAYISHIMIYE,

 “Nina furaha sanasana kuwa Tanzania kwa Wazazi wetu Tanzania, kwanza naomba msamaha labda Kiswahili changu kitakuwa kibovu lakini nitajitahidi, mimi sikuzaliwa karibu na mpaka wa Tanzania, sikuzaliwa Bujumbura lakini nitajitahidi” Rais NDAYISHIMIYE

“Zamani Watanzania wakiona Mrundi anakuja hapa walikuwa wanadhani kuna mambo mabaya Burundi ila sasa mimi nimekuja na salamu za Warundi wanawasalimia sana, kwa niaba yao nataka nikupongeze JPM kwasababu umejenga Tanzania, umeibadilisha Tanzania”” Rais NDAYISHIMIYE

,

Article Categories:
Habari

Leave a Reply

Your email address will not be published. Required fields are marked *