Nicki Minaj apata mtoto

October 2, 2020

 Imeripotiwa kuwa Mwanamuziki Nicki Minaj Pamoja na mpenzi wake Kenneth Petty wamepata mtoto wao wa kwanza baada ya Nicki Kujifungua siku ya Jana huko Los Angeles .

Nicki alishare kwa mara ya Kwanza kuwa ni mjamzito na anatarajia mtoto mwezi wa July Mwaka huu , Pamoja na kupost picha zake akiwa mjamzito kupitia Ukurasa wake wa Instagram.

Hata hivyo mpaka hivi sasa bado Jinsia wala Jina la mtoto huyo havijawekwa wazi na Nicki Minaj Pamoja na Mpenzi wake .

,

Article Categories:
Habari

Leave a Reply

Your email address will not be published. Required fields are marked *