Ngiri maji yenye uzito wa kilo 20 yavunja ndoto ya mkulima Tanzania

September 8, 2020

Hujafa hujaumbika. Ni maneno ya wahenga. Hii inaonekana dhahiri katika maisha ya kijana Matayo Kudenya, mkazi wa kizota, jijini Dodoma.

Kudenya ambae awali alikuwa akijishughulisha na ukulima, kwa miaka kadhaa sasa shughuli zake zote zimesimama kutokana na tatizo la ngiri maji au busha ambayo imekuwa mwilini mwake na kufikia uzito wa takriban kilo ishirini.

Source link

,Hujafa hujaumbika. Ni maneno ya wahenga. Hii inaonekana dhahiri katika maisha ya kijana Matayo Kudenya, mkazi wa kizota, jijini Dodoma….

Article Categories:
Habari

Leave a Reply

Your email address will not be published. Required fields are marked *