Neymar afungiwa game mbili, on September 18, 2020 at 6:00 am

September 18, 2020

Staa wa PSG Neymar amefungiwa mechi 2 kutokana na kadi nyekundu aliyooneshwa katika mchezo dhidi ya Marseille mchezo wa Ligi Kuu Ufaransa.Kwenye game hiyo PSG walipoteza  1-0, huku Neymar akioneshwa kadi nyekundu baada ya kuzinguana na Alvaro Gonzalez anayedai kuwa alimbagua kwa kumuita nyani.Baada ya adhabu hiyo kwa Neymar uchunguzi umeanza kubaini kama Alvaro alifanya kweli kitendo hicho kisichocha kiungwana lakini PSG pia wameanza uchunguzi wao binafsi kuthibitisha kuwa Neymar alibaguliwa.,

Staa wa PSG Neymar amefungiwa mechi 2 kutokana na kadi nyekundu aliyooneshwa katika mchezo dhidi ya Marseille mchezo wa Ligi Kuu Ufaransa.

Kwenye game hiyo PSG walipoteza  1-0, huku Neymar akioneshwa kadi nyekundu baada ya kuzinguana na Alvaro Gonzalez anayedai kuwa alimbagua kwa kumuita nyani.

Baada ya adhabu hiyo kwa Neymar uchunguzi umeanza kubaini kama Alvaro alifanya kweli kitendo hicho kisichocha kiungwana lakini PSG pia wameanza uchunguzi wao binafsi kuthibitisha kuwa Neymar alibaguliwa.

,

Article Categories:
Habari

Leave a Reply

Your email address will not be published. Required fields are marked *