Netanyahu: ”Mazungumzo zaidi” ya siri na viongozi wa kiarabu kuhusu ushirikiano, noreply@blogger.com (Muungwana Blog), on August 30, 2020 at 6:00 pm

August 30, 2020

Waziri mkuu wa Israeli Benjamin Netanyahu amesema leo kuwa Israeli imo katika mazungumzo ya siri na mataifa ya kiarabu ya kuanzisha mahusiano ikiwa ni pamoja na yake ya hivi karibuni na Umoja wa falme za Kiarabu, UAE yanayoungwa mkono na Marekani.Wakati wa mkesha wa safari ya kwanza ya ndege ya kibiashara ya Israeli kwenda katika nchi ya Umoja wa falme za Kiarabu, Netanyahu alisema kuwa Israeli iko katika mazungumzo ya siri na mataifa kadhaa ya Kiarabu na viongozi wa Kiislamu kurejesha hali ya kawaida katika uhusiano na taifa hilo.,

Waziri mkuu wa Israeli Benjamin Netanyahu amesema leo kuwa Israeli imo katika mazungumzo ya siri na mataifa ya kiarabu ya kuanzisha mahusiano ikiwa ni pamoja na yake ya hivi karibuni na Umoja wa falme za Kiarabu, UAE yanayoungwa mkono na Marekani.

Wakati wa mkesha wa safari ya kwanza ya ndege ya kibiashara ya Israeli kwenda katika nchi ya Umoja wa falme za Kiarabu, Netanyahu alisema kuwa Israeli iko katika mazungumzo ya siri na mataifa kadhaa ya Kiarabu na viongozi wa Kiislamu kurejesha hali ya kawaida katika uhusiano na taifa hilo.

,

Article Categories:
Habari

Leave a Reply

Your email address will not be published. Required fields are marked *