NEC: Tunaanza kuchukua hatua kwa wagombea wanaotoa matusi

September 15, 2020

Mkurugenzi wa Uchaguzi wa Tume ya Taifa ya Uchaguzi, Dkt. Wilson Mahera Charles amesema wanaanza kuchukua hatua kwa wagombea wanaotoa lugha za matusi pamoja zile zinazohatarisha usalama.Amesema hayo Jumanne hii, 15 Septemba , 2020 katika Ukumbi Wa Mwalimu Nyerere (JNICC) kwenye Mkutano wa Tume ya Taifa ya Uchaguzi pamoja na watoa huduma wa mtandao (blogs na Online Tv),

Mkurugenzi wa Uchaguzi wa Tume ya Taifa ya Uchaguzi, Dkt. Wilson Mahera Charles amesema wanaanza kuchukua hatua kwa wagombea wanaotoa lugha za matusi pamoja zile zinazohatarisha usalama.

Amesema hayo Jumanne hii, 15 Septemba , 2020 katika Ukumbi Wa Mwalimu Nyerere (JNICC) kwenye Mkutano wa Tume ya Taifa ya Uchaguzi pamoja na watoa huduma wa mtandao (blogs na Online Tv)

,

Article Categories:
Habari

Leave a Reply

Your email address will not be published. Required fields are marked *