Ndugai akagua ukarabati wa jengo la Bunge,

October 1, 2020

 

Spika wa Bunge la Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Job Ndugai leo October 1, 2020 amekagua ukarabati wa jengo la Bunge Jijini Dodoma.

Katika ukaguzi huo Spika Ndugai ameongozana na Katibu wa Bunge, Stephen Kagaigai, Wakurugenzi na Maafisa wa Ofisi ya Bunge na Mahandisi wanaofanya ukarabati huo.

,

Article Categories:
Habari

Leave a Reply

Your email address will not be published. Required fields are marked *