Nchi yetu inaongoza kuwa mahali penye usalama katika Afrika Mashariki- JPM, noreply@blogger.com (Udaku Special)

September 1, 2020

 “Tumejenga Hospitali ya Wilaya hapa Bahi kwa Tsh. Bil 1.8 ambayo ujenzi wake umefikia 95%, tumejenga vituo vya afya 3 kwa Tsh. Bil 1.5, nataka hii Hospitali ya Wilaya ikamilike haraka ili Wananchi waanze kutibiwa hapa, ndio maana nawaomba mnipe kura nikamalizie palipobaki”-JPM“Nchi yetu ni miongoni mwa Nchi 10 zenye maendeleo ya juu Afrika, na katika Global Peace Index yaani mahali penye usalama zaidi, katika ripoti ya mwaka 2020 Nchi yetu inaongoza kuwa mahali penye peace katika Afrika Mashariki, Afrika nzima sisi ni Watu wa 6 na Dunia ni wa 52” -JPM,

 “Tumejenga Hospitali ya Wilaya hapa Bahi kwa Tsh. Bil 1.8 ambayo ujenzi wake umefikia 95%, tumejenga vituo vya afya 3 kwa Tsh. Bil 1.5, nataka hii Hospitali ya Wilaya ikamilike haraka ili Wananchi waanze kutibiwa hapa, ndio maana nawaomba mnipe kura nikamalizie palipobaki”-JPM

“Nchi yetu ni miongoni mwa Nchi 10 zenye maendeleo ya juu Afrika, na katika Global Peace Index yaani mahali penye usalama zaidi, katika ripoti ya mwaka 2020 Nchi yetu inaongoza kuwa mahali penye peace katika Afrika Mashariki, Afrika nzima sisi ni Watu wa 6 na Dunia ni wa 52” -JPM

,

Article Categories:
Habari

Leave a Reply

Your email address will not be published. Required fields are marked *