Navy Kenzo washika namba moja chati za Apple Music Afrika, noreply@blogger.com (Muungwana Blog 3), on September 4, 2020 at 10:00 am

September 4, 2020

 Mastaa wanaounda kundi la Navy Kenzo, Nahreel & Aika wanazidi kufanya vizuri kimataifa mara baada ngoma yao “Only One” waliyomshirikisha King promice inayopatikana kwenye Album yao mpya ‘Story of the African Mob’ kushika namba moja kwenye mtandao mkubwa wa kuuza nyimbo duniani, Apple Music.Pia picha ya Navy Kenzo imewekwa kwenye Cover ya Playlist kubwa ya Muziki Barani Afrika (Africa Now)Ifahamike, Apple wamekua na utaratibu wa kuweka cover za Mastaa ambao Ngoma zao zinaongoza kwa Mauzo katika mtandao huo , kwenye Playlist zao mbalimbali.Ngoma mpya ya @navykenzoofficial ‘Only One’ imekua ndio nyimbo inayofanya vizuri zaidi kati ya nyimbo za Afrika zilizoachiwa hivi karibuni inayopatikana ndani ya Album yao mpya.Nahreel & Aika  wanakua wasanii wa kwanza Tanzania na Afrika Mashariki (kama kundi) kwa picha yao kutumika Kama Cover katika Playlist hiyo kubwa zaidi barani Afrika kwa sasa.,

 

Mastaa wanaounda kundi la Navy Kenzo, Nahreel & Aika wanazidi kufanya vizuri kimataifa mara baada ngoma yao “Only One” waliyomshirikisha King promice inayopatikana kwenye Album yao mpya ‘Story of the African Mob’ kushika namba moja kwenye mtandao mkubwa wa kuuza nyimbo duniani, Apple Music.

Pia picha ya Navy Kenzo imewekwa kwenye Cover ya Playlist kubwa ya Muziki Barani Afrika (Africa Now)

Ifahamike, Apple wamekua na utaratibu wa kuweka cover za Mastaa ambao Ngoma zao zinaongoza kwa Mauzo katika mtandao huo , kwenye Playlist zao mbalimbali.

Ngoma mpya ya @navykenzoofficial ‘Only One’ imekua ndio nyimbo inayofanya vizuri zaidi kati ya nyimbo za Afrika zilizoachiwa hivi karibuni inayopatikana ndani ya Album yao mpya.

Nahreel & Aika  wanakua wasanii wa kwanza Tanzania na Afrika Mashariki (kama kundi) kwa picha yao kutumika Kama Cover katika Playlist hiyo kubwa zaidi barani Afrika kwa sasa.

,

Article Categories:
Habari

Leave a Reply

Your email address will not be published. Required fields are marked *