Nape Naye Kikaangoni….Dkt Bashiru Amshukia “Nimemuona Nape Ilemela Wakati Anatakiwa Kuwa Lindi”

September 6, 2020

Dkt Bashiru pia akatoa maelekezo haya kwa Nape, “Nimemuona Nape Ilemela, wakati Jakaya kikwete anakwenda Lindi Septemba 8, 2020 kuzindua, anatakiwa awe Lindi kumuandalia Mkutano,tutakuwa wakali kusimamia nidhamu, wagombea wa CCM wapo chini ya Kamati za Siasa, lazima wafuate maelekezo, sio kujiamulia binafsi” ameongeza Dkt Bashiru.Mbali na hayo Dkt Bashiru ameongeza kuwa, “Hakuna Mgombea yeyote kutoka Jimboni kwake bila idhini ya Kamati ya Siasa ya Wilaya, tufuate ratiba za NEC na  Kamati za Siasa, tuwatafutie kura wagombea Udiwani na Mgombea Urais, tufafanue Ilani yetu tuliyotekeleza na kilichobaki, na kuhamasisha wananchi kupiga kura”.,

Dkt Bashiru pia akatoa maelekezo haya kwa Nape, “Nimemuona Nape Ilemela, wakati Jakaya kikwete anakwenda Lindi Septemba 8, 2020 kuzindua, anatakiwa awe Lindi kumuandalia Mkutano,tutakuwa wakali kusimamia nidhamu, wagombea wa CCM wapo chini ya Kamati za Siasa, lazima wafuate maelekezo, sio kujiamulia binafsi” ameongeza Dkt Bashiru.

Mbali na hayo Dkt Bashiru ameongeza kuwa, “Hakuna Mgombea yeyote kutoka Jimboni kwake bila idhini ya Kamati ya Siasa ya Wilaya, tufuate ratiba za NEC na  Kamati za Siasa, tuwatafutie kura wagombea Udiwani na Mgombea Urais, tufafanue Ilani yetu tuliyotekeleza na kilichobaki, na kuhamasisha wananchi kupiga kura”.

,

Article Categories:
Habari

Leave a Reply

Your email address will not be published. Required fields are marked *