Namibia kufundisha mbwa kugundua virusi vya corona, noreply@blogger.com (Muungwana Blog 3), on September 4, 2020 at 1:00 pm

September 4, 2020

Chuo Kukuu cha Namibia kitengo cha dawa ya mifugo kinawafundisha mbwa kubaini virusi vya corona kwa kunusa.Mpango wa nchi hiyo ni kuwapelea nbwa hao katikaviwanja vya ndegena vituo vya mpakani, kwa mujibu wa mtandao wa The Namibian.Mbwa wamethibitishwa kuwa na uwezo wa kubaini virusi vya corona kwa aslimia 95, mhadiri wa somo la tiba ya wanyama Alma Raath anasema.Mradi huo ulianzishwa miezi miezi miwili iliyopita, inarsema taarifa ya mtandao huo wa The Namibian, lakini haujataja ni lini mbwa hao watakuwa tayari kufanya kazi.Mtandao wa The Namibian unasema nchi hiyo itakuwa ya kwanza kutumia mbwa kubaini virusi vya corona.,

Chuo Kukuu cha Namibia kitengo cha dawa ya mifugo kinawafundisha mbwa kubaini virusi vya corona kwa kunusa.

Mpango wa nchi hiyo ni kuwapelea nbwa hao katikaviwanja vya ndegena vituo vya mpakani, kwa mujibu wa mtandao wa The Namibian.

Mbwa wamethibitishwa kuwa na uwezo wa kubaini virusi vya corona kwa aslimia 95, mhadiri wa somo la tiba ya wanyama Alma Raath anasema.

Mradi huo ulianzishwa miezi miezi miwili iliyopita, inarsema taarifa ya mtandao huo wa The Namibian, lakini haujataja ni lini mbwa hao watakuwa tayari kufanya kazi.

Mtandao wa The Namibian unasema nchi hiyo itakuwa ya kwanza kutumia mbwa kubaini virusi vya corona.

,

Article Categories:
Habari

Leave a Reply

Your email address will not be published. Required fields are marked *