Mwisho Mwampamba azungumza baada ya ukimya wa muda mrefu, Nimejuana na Kalito kipindi natoka na Ray C

October 5, 2020

Leo Bongo5 tumepata nafsi ya kupiga stori na mfanyabiashara wa chakula hapa Dar Es Salaam @kalitosamaki alimaarufu Kalito wa Samaki Samaki ambaye leo amefungua mgahawa mwigine wa KUKU KUKU.

@kalitosamaki emeeleza dhamira yake ya kufungua mgahawa mwigine wa KUKU KUKU baada ya SAMKI SAMAKI kufanya vizuri.

Mbali na hilo tumepiga stori na aliyewahi kuwa mshiriki wa BIG BROTHER AFRICA kwa mwaka 2003 Mwisho Mwampamba ambaye kwa sasa yupo kimya sana na kueleza kilichopelekea kukaa kimya.

Mwisho ameeleza kuwa kwa sasa anataka kurudi kwenye mitandao ya kijamii kwani yupo nyuma sana kwenye masuala ya mitandao huku Kalito akigongea msumari wa mwisho akisema kinachompa shida bwana Mwisho Mwampapamba ni ubishi

,

Article Categories:
Habari

Leave a Reply

Your email address will not be published. Required fields are marked *