Mwili wa aliyekuwa Mtangazaji wa ITV Agnes Almasy kuzikwa kesho, noreply@blogger.com (Muungwana Blog 3), on September 5, 2020 at 1:00 pm

September 5, 2020

 Mwili wa aliyekuwa Mtangazaji wa ITV, Agnes Almasy umeagwa katika Kanisa la Angilikana Ilala, Dayosisi ya Dar es Salaam.Ibada ya kuaga mwili wa marehemu imeongozwa na Padri Fredrick Napella.Mwili huo utasafirishwa kwenda mkoani Tanga kwa ajili ya mazishi yatakayofanyika kesho Agosti 6, 2020.,

 

Mwili wa aliyekuwa Mtangazaji wa ITV, Agnes Almasy umeagwa katika Kanisa la Angilikana Ilala, Dayosisi ya Dar es Salaam.

Ibada ya kuaga mwili wa marehemu imeongozwa na Padri Fredrick Napella.

Mwili huo utasafirishwa kwenda mkoani Tanga kwa ajili ya mazishi yatakayofanyika kesho Agosti 6, 2020.

,

Article Categories:
Habari

Leave a Reply

Your email address will not be published. Required fields are marked *