Mwijaku na mke wake waanzisha challenge ya wapendanao, washiriki kutalii Zanzibar

September 7, 2020

Msanii wa Bongo Movie na Mtangazaji wa Clouds Media, @mwijaku ameanzisha Challenge ya mahusiano kwa wapendanao akishirikiana na Mke wake @aliciousmAkiongea na Waandishi wa habari @mwijaku akiwa ameongozana na mke wake @aliciousm ameeleza kuwa leo la kuanzisha Challenge hiyo ni kutafuta familia/mahusiano ambayo yatakuwa mfano bora kwa jamii kuonyesha namna gani wanandoa wanatakiw akuishi wakionyesha upendo wa hali ya juu.Wameongeza kuwa watachagua familia nane ty amabzo zitakuwa mfano kufundiisha jamii namna ya wana ndoa kutakiwa kuishi wakionyesha upendo ili kujenga familia iliyo bora kwani familia bora hujengwa na upendo wa baba na mama.Kwa familia zitakazofanikiwa kushiriki hiyo challenge washindi watapata zawadi lakini hizo familia nane zitapata nafasi ya kwenda kutalii Zanzibar.Challenge hiyo itasimamiwa na Taasisi isiyo ya kiserikali ya @smartgeneration_tzinayosiamiwa na @nikkwapili pamoja na @officialcza,

Msanii wa Bongo Movie na Mtangazaji wa Clouds Media, @mwijaku ameanzisha Challenge ya mahusiano kwa wapendanao akishirikiana na Mke wake @aliciousm

Akiongea na Waandishi wa habari @mwijaku akiwa ameongozana na mke wake @aliciousm ameeleza kuwa leo la kuanzisha Challenge hiyo ni kutafuta familia/mahusiano ambayo yatakuwa mfano bora kwa jamii kuonyesha namna gani wanandoa wanatakiw akuishi wakionyesha upendo wa hali ya juu.

Wameongeza kuwa watachagua familia nane ty amabzo zitakuwa mfano kufundiisha jamii namna ya wana ndoa kutakiwa kuishi wakionyesha upendo ili kujenga familia iliyo bora kwani familia bora hujengwa na upendo wa baba na mama.

Kwa familia zitakazofanikiwa kushiriki hiyo challenge washindi watapata zawadi lakini hizo familia nane zitapata nafasi ya kwenda kutalii Zanzibar.

Challenge hiyo itasimamiwa na Taasisi isiyo ya kiserikali ya @smartgeneration_tz

inayosiamiwa na @nikkwapili pamoja na @officialcza

,

Article Categories:
Habari

Leave a Reply

Your email address will not be published. Required fields are marked *