Mwigizaji JB Afanikiwa Kupunguza Uzito Kwa Kilo 15

September 14, 2020

Msanii wa Filamu nchini, Jacob Steven maarufu JB ameeleza kuanza mpango wake kupunguza unene.Kupitia ujumbe wake kwenye ukurasa wake wa Instagram, JB ameeleza kuwa tayari amefanikiwa kupunguza uzito kwa Kilo 15.“Ndugu zangu nimefanikiwa kupungua kilo 15, lakini director wangu anataka nipungue kilo 20 zaidi kwa ajili ya msimu mpya wa Single Mama Series . Mnasemaje japo natamani kuwa na SIX packs na mimi, tuingie kwenye vyuma ama tuishie hapa???” ameandika #JB.Ikumbukwe, kwenye moja ya mahojiano yake JB alikiri kwamba kuna wakati unene wake humtesa na hivyo hutamani apungue kwani humsumbua katika Mavazi,

Msanii wa Filamu nchini, Jacob Steven maarufu JB ameeleza kuanza mpango wake kupunguza unene.
Kupitia ujumbe wake kwenye ukurasa wake wa Instagram, JB ameeleza kuwa tayari amefanikiwa kupunguza uzito kwa Kilo 15.

“Ndugu zangu nimefanikiwa kupungua kilo 15, lakini director wangu anataka nipungue kilo 20 zaidi kwa ajili ya msimu mpya wa Single Mama Series . Mnasemaje japo natamani kuwa na SIX packs na mimi, tuingie kwenye vyuma ama tuishie hapa???” ameandika #JB.

Ikumbukwe, kwenye moja ya mahojiano yake JB alikiri kwamba kuna wakati unene wake humtesa na hivyo hutamani apungue kwani humsumbua katika Mavazi,

Article Categories:
Habari

Leave a Reply

Your email address will not be published. Required fields are marked *