Mwanamziki Nicki Minaj ajifungua mtoto wake wa kwanza.

October 2, 2020

Mwanamziki wa Rap kutoka Marekani Nicki Minaj amejifungua mtoto wake wa kwanza. Mjini California. Jina na jinsia ya mtoto bado haijatangazwa,Nicki na mumewe Kenneth Petty watasherehekea mmoja tangu wafungenge ndoa tarehe 21 ya mwezi huu kwa njia ya kipee ikiwa tayari ameanza familia.Amevuma kwa kibao hiki cha Megatron

Source link

,

Article Categories:
Habari

Leave a Reply

Your email address will not be published. Required fields are marked *