Mwanadamu wa Kale Alioka Mikate Kabla ya Kuanza Kilimo…., noreply@blogger.com (Udaku Special)

September 4, 2020

Kikundi cha Wanaakiolojia kimesema wamegundua kwamba Binadamu walianza Kuoka Mikate ya Nafaka Pori mapema zaidi kabla ya kuanza shughuli za kilimoUtafiti uliotolewa kwenye Jarida la PNAS la Marekani unaonesha kuwa Wanaakiolojia wamegundua Mabaki ya Mikate ya kuokwa yenye historia ya miaka 14,400 katika makazi ya kale ya binadamu Kaskazini Mashariki mwa JordanWatafiti kutoka wamegundua kuwa binadamu wa kale walisaga, kuchuja, kukaanga na kupika nafaka pori, zikiwemo Shayiri na NganoWamesema kuoka mikate kwa nafaka pori kuliwahimiza binadamu wa kale kuanza kulima nafaka, na kuleta mapinduzi ya kilimo katika Zama za Mwisho za Mawe,

Kikundi cha Wanaakiolojia kimesema wamegundua kwamba Binadamu walianza Kuoka Mikate ya Nafaka Pori mapema zaidi kabla ya kuanza shughuli za kilimo
Utafiti uliotolewa kwenye Jarida la PNAS la Marekani unaonesha kuwa Wanaakiolojia wamegundua Mabaki ya Mikate ya kuokwa yenye historia ya miaka 14,400 katika makazi ya kale ya binadamu Kaskazini Mashariki mwa Jordan
Watafiti kutoka wamegundua kuwa binadamu wa kale walisaga, kuchuja, kukaanga na kupika nafaka pori, zikiwemo Shayiri na Ngano
Wamesema kuoka mikate kwa nafaka pori kuliwahimiza binadamu wa kale kuanza kulima nafaka, na kuleta mapinduzi ya kilimo katika Zama za Mwisho za Mawe

,

Article Categories:
Habari

Leave a Reply

Your email address will not be published. Required fields are marked *