Mwalimu Atiwa mbaroni na TAKUKURU kwa tuhuma za kutoa rushwa Kwa Katubu Tawala Mkoa wa Arusha, on September 7, 2020 at 2:04 pm

September 7, 2020

Taasisi ya Kuzuia na Kupambana na Rushwa (Takukuru) itamfikisha mahakamani mwalimu, Kondwani Masata akituhumiwa kutoa rushwa ya Sh.90,000 kama kishawishi kwa Katibu Tawala Mkoa wa Tabora ili aweze kuhamishiwa Manispaa ya Tabora. ,

Taasisi ya Kuzuia na Kupambana na Rushwa (Takukuru) itamfikisha mahakamani mwalimu, Kondwani Masata akituhumiwa kutoa rushwa ya Sh.90,000 kama kishawishi kwa Katibu Tawala Mkoa wa Tabora ili aweze kuhamishiwa Manispaa ya Tabora. 

,

Article Categories:
Habari

Leave a Reply

Your email address will not be published. Required fields are marked *