Mtwara: Madereva wa vyombo vya moto waaswa kufuata sheria na kanuni za usalama wa barabarani,

October 2, 2020

 

Na Faruku Ngonyani, Mtwara.

Madereva wa vyombo vya moto Mkoani Mtwara wameaswa kufuata sheria na kanuni za usalama wa barabarani.

Wito huo umetolewa na Mwenyekiti wa Madereva Mkoani Mtwara Hamza Licheta mara baada ya kuona madereva walio wengi wamekuwa wakivunja sharia haswa kwa kipindi cha kampeni kuelekea uchaguzi Mkuu tarehe 28 Oktoba 2020.

Aidha licheta ameongeza kuwa kwa sasa madereva hao  wamkuwa wakikodiwa na wagombea nyazfa wa vyama mbalimbali huku wamekuwa wakibebe abiria wengi Zaidi kuliko idadi inayihutajika.

Lakini pia Mwenyekiti huyo awali amebainisha kuwa kwa upande wa Madereva Pikipiki wamekuwa wakipakia abiria Zaidi ya MMOJA,Bajajiji Zaidi inanayotakiw kupakiwa abiria watatu inapakiwa abiria Zaidi ya watatu huku kwa upande wa Daladala wamekuwa wakipakia abiria Zaidi thelathini (30).

 

,

Article Categories:
Habari

Leave a Reply

Your email address will not be published. Required fields are marked *