Mtu mmoja afariki katika shambulizi la kisu nchini Uingereza, on September 6, 2020 at 6:00 pm

September 6, 2020

Taarifa iliotolewa na  kikosi cha jeshi la Polisi West Midlands Birmingham nchiini.Uingereza  zimefahamisha kwamba katika shambulizi la kisu lililotekeleza mjin humo ni mtu mmoja ndio ambae ameripotiwa kufariki.Uchunguzi umeanzishwa  baada ya mashambulizi hayo katika maeneo tofauti mjini humo usiku wa Jumamosi kuamkia Jumapili.Taatifa hiyo imefahamisha kwamba mtu mmoja ndio aliefariki na wengine 7 wameripotiwa kujeruhiwa .Miongoni mwa watu waliojeruhiwa wawili wamejeruhiwa vikali.Jeshi la Polisi mjini humo limeanza operesheni ya  kuwasaka waliohusika na tukio hilo.Kulingana na taarifa ambazo zimetolewa hadi kufikia  majira ya mchana Jumapili ni kwamba kitendo hicho ni ulipizaji  kisasa kati ya makundi mawili hasimu na  hukana tuhuma za  kigaidi.Waziri wa Uingereza wa Mambo ya nje  Dominic Raab amesema kwa upande wake kwamba hakuna taarifa kuwa kitendo hicho ni kitendo cha kigaidi.,

Taarifa iliotolewa na  kikosi cha jeshi la Polisi West Midlands Birmingham nchiini.

Uingereza  zimefahamisha kwamba katika shambulizi la kisu lililotekeleza mjin humo ni mtu mmoja ndio ambae ameripotiwa kufariki.

Uchunguzi umeanzishwa  baada ya mashambulizi hayo katika maeneo tofauti mjini humo usiku wa Jumamosi kuamkia Jumapili.

Taatifa hiyo imefahamisha kwamba mtu mmoja ndio aliefariki na wengine 7 wameripotiwa kujeruhiwa .

Miongoni mwa watu waliojeruhiwa wawili wamejeruhiwa vikali.

Jeshi la Polisi mjini humo limeanza operesheni ya  kuwasaka waliohusika na tukio hilo.

Kulingana na taarifa ambazo zimetolewa hadi kufikia  majira ya mchana Jumapili ni kwamba kitendo hicho ni ulipizaji  kisasa kati ya makundi mawili hasimu na  hukana tuhuma za  kigaidi.

Waziri wa Uingereza wa Mambo ya nje  Dominic Raab amesema kwa upande wake kwamba hakuna taarifa kuwa kitendo hicho ni kitendo cha kigaidi.

,

Article Categories:
Habari

Leave a Reply

Your email address will not be published. Required fields are marked *