Mtoto wa Miaka Miwili Aliyenyofolewa Sehemu za SIRI na Mbwa Siku ya Birthday Yake Afariki Dunia

October 1, 2020

Mtoto wa miaka miwili ambaye alinyofolewa sehemu zake za siri na Mbwa kwenye siku ya Birthday yake amefariki Dunia baada ya kulazwa Hospitali Ukraine kwa siku 10.

Polisi wamesema watawachukuli hatua Wazazi kwasababu walinogewa na Birthday Party alafu wakajisahau Mtoto akatoka nje bila wao kujua “inaonekana walilewa, ni uzembe”

,

Article Categories:
Habari

Leave a Reply

Your email address will not be published. Required fields are marked *