Mtangazaji B Dozen amvalisha pete mpenzi wake wa miaka mingi…Alikuwa Mfanyakazi Mwenzake Clouds FM

September 15, 2020

Katika hali ambayo haikutarajiwa na wengi mtangazaji mashuhuri nchini Hamis Mandi aka Bdozen ambaye kwa sasa anatangazia kituo cha redio cha E-FM amemvisha pete mpenzi wake wa siku nyingi aitwaye Faudhia.Hii ni baada ya kuweka mahusiano yao private kwa miaka mingi sana…Faudhia alikuwa ni mfanyakazi mwenzake Clouds FMTazama Tukio Hapa:,

Katika hali ambayo haikutarajiwa na wengi mtangazaji mashuhuri nchini Hamis Mandi aka Bdozen ambaye kwa sasa anatangazia kituo cha redio cha E-FM amemvisha pete mpenzi wake wa siku nyingi aitwaye Faudhia.

Hii ni baada ya kuweka mahusiano yao private kwa miaka mingi sana…Faudhia alikuwa ni mfanyakazi mwenzake Clouds FM

Tazama Tukio Hapa:

,

Article Categories:
Habari

Leave a Reply

Your email address will not be published. Required fields are marked *