Mshindi wa Tuzo ya Nobel 2018 awekwa chini ya ulinzi wa UN DR-Congo, on September 10, 2020 at 10:00 am

September 10, 2020

Mshindi wa Tuzo ya Amani ya Nobel Denis Mukwege amewekwa chini ya ulinzi wa vikosi vya Umoja wa Mataifa nchini Jamhuri ya Kidemokrasia Kongo baada ya vitisho vya kuuawa kutolewa dhidi yake.Dkt Mukwege alishinda Tuzo ya Amani ya Nobel ya 2018 kutokana na juhudi zake za kutibu wahanga wa ubakaji katika mzozo mashariki mwa Jamhuri ya Kidemokrasia Congo.Vita Mashariki mwa DRC vimewalazimisha mamia kutoroka makwao hali inayohatarisha maisha yao.,

Mshindi wa Tuzo ya Amani ya Nobel Denis Mukwege amewekwa chini ya ulinzi wa vikosi vya Umoja wa Mataifa nchini Jamhuri ya Kidemokrasia Kongo baada ya vitisho vya kuuawa kutolewa dhidi yake.

Dkt Mukwege alishinda Tuzo ya Amani ya Nobel ya 2018 kutokana na juhudi zake za kutibu wahanga wa ubakaji katika mzozo mashariki mwa Jamhuri ya Kidemokrasia Congo.

Vita Mashariki mwa DRC vimewalazimisha mamia kutoroka makwao hali inayohatarisha maisha yao.

,

Article Categories:
Habari

Leave a Reply

Your email address will not be published. Required fields are marked *