Mshambuliaji wa yanga Yacouba amewasili Tanzania leo, noreply@blogger.com (Udaku Special)

August 31, 2020

YACOUBA Sogne mshambuliaji wa Yanga amewasili  Tanzania leo Agosti 31 akitokea nchini Burkina Faso.Sogne anaungana na wachezaji wenzake kambini jumla kwa ajili ya maandalizi ya Ligi Kuu Bara inayotarajiwa kuanza Septemba 6.Yanga itaanza na mchezo dhidi ya Tanzania Prisons Septemba 6, Uwanja wa Mkapa majira ya saa 1:00 usiku.Sogne ambaye amesaini dili la miaka miwili amesema kuwa anafurahi kuwa sehemu ya timu na anafurahi kwa mapokezi.,

YACOUBA Sogne mshambuliaji wa Yanga amewasili  Tanzania leo Agosti 31 akitokea nchini Burkina Faso.

Sogne anaungana na wachezaji wenzake kambini jumla kwa ajili ya maandalizi ya Ligi Kuu Bara inayotarajiwa kuanza Septemba 6.

Yanga itaanza na mchezo dhidi ya Tanzania Prisons Septemba 6, Uwanja wa Mkapa majira ya saa 1:00 usiku.

Sogne ambaye amesaini dili la miaka miwili amesema kuwa anafurahi kuwa sehemu ya timu na anafurahi kwa mapokezi.

,

Article Categories:
Habari

Leave a Reply

Your email address will not be published. Required fields are marked *