Mshambuliaji wa yanga apata dili Rwanda, on September 9, 2020 at 8:00 am

September 9, 2020

 MSHAMBULIAJI wa zamani wa Yanga, Patrick Sibomana amesaini dili la mwaka mmoja kuitumikia Klabu ya Polisi Rwanda ya Rwanda.Timu hiyo inashiriki lia Ligi Kuu ya nchini Rwanda na awali ilikuwa inaelezwa kuwa angetua ndani ya Klabu ya SC Kiyovu.Nyota huyo mwenye miaka 25 ameibuka ndani ya Polisi Rwanda baada ya kuvunjiwa mkataba wake na Yanga kutokana na kutokubali uwezo wake .Akiwa Yanga, msimu wa 2019/20 alitupia jumla ya mabao sita ndani ya Ligi Kuu Bara kati ya mabao 45.,

 

MSHAMBULIAJI wa zamani wa Yanga, Patrick Sibomana amesaini dili la mwaka mmoja kuitumikia Klabu ya Polisi Rwanda ya Rwanda.

Timu hiyo inashiriki lia Ligi Kuu ya nchini Rwanda na awali ilikuwa inaelezwa kuwa angetua ndani ya Klabu ya SC Kiyovu.

Nyota huyo mwenye miaka 25 ameibuka ndani ya Polisi Rwanda baada ya kuvunjiwa mkataba wake na Yanga kutokana na kutokubali uwezo wake .

Akiwa Yanga, msimu wa 2019/20 alitupia jumla ya mabao sita ndani ya Ligi Kuu Bara kati ya mabao 45.

,

Article Categories:
Habari

Leave a Reply

Your email address will not be published. Required fields are marked *