Msemaji wa bunge la Uturuki azungumza na mkuu wa Umoja wa wabunge Gabriela, noreply@blogger.com (Muungwana Blog 3), on September 2, 2020 at 10:00 am

September 2, 2020

Msemaji wa bunge  la Uturuki  Mustafa Şentop  azungumza na    mkuu wa Umoja wa wabunge Gabriela Cuevas Barron.Mustafa Şentop , msemaji wa  bunge la Uturuki azungumza na  na  mkuu wa Umoja wa wabunge Gabriela Cuevas Barron   , katika mazungumzo yao viongozi hao wamejadili  kuhusu masuala tofauti.Suala zima hukusu  ushirikiano na ufanisi katika  wajibu wa kidiplomasia  kutatua tofauti na matatizo ambayo  yametokea kutokana na  kuibuka  kwa janga la virusi vya corona.Mustafa Şentop amechangia mlo wa jioni na  tume liokuwa ikishirikiana na  Barron.,

Msemaji wa bunge  la Uturuki  Mustafa Şentop  azungumza na    mkuu wa Umoja wa wabunge Gabriela Cuevas Barron.

Mustafa Şentop , msemaji wa  bunge la Uturuki azungumza na  na  mkuu wa Umoja wa wabunge Gabriela Cuevas Barron   , katika mazungumzo yao viongozi hao wamejadili  kuhusu masuala tofauti.

Suala zima hukusu  ushirikiano na ufanisi katika  wajibu wa kidiplomasia  kutatua tofauti na matatizo ambayo  yametokea kutokana na  kuibuka  kwa janga la virusi vya corona.

Mustafa Şentop amechangia mlo wa jioni na  tume liokuwa ikishirikiana na  Barron.

,

Article Categories:
Habari

Leave a Reply

Your email address will not be published. Required fields are marked *