Mrema Ampigia DEBE Magufuli….

September 12, 2020

Mwenyekiti wa chama cha TLP,  Agustine Mrema, amesema kazi kubwa iliyopo mbele yake kwa sasa ni kumwombea kura mgombea urais kupitia Chama Cha Mapinduzi (CCM), Dk. John Pombe Magufuli, ili  ashinde kwa kishindo katika uchaguzi mkuu wa mwezi Oktoba, mwaka huu.Mrema ambaye pia anagombea ubunge jimbo la Vunjo kupitia chama chake, amesema baada ya kujipima na kutafakari kwa kina yeye na chama chake waliona ni bora kuunganisha nguvu ili ushindi wa Dk. Magufuli uwepo na yeye abaki kwenye ubunge.Amebainisha kuwa,  vyama vya upinzani vinamwona kama kachanganyikiwa ila wao ndiyo waliocjjhanganyikiwa, kwani kila chama kimemsimamisha mgombea urais ila hakuna anayeweza kushindana naye hata robo, kwa makubwa aliyoyafanya kwa kipindi cha muda mfupi.,

Mwenyekiti wa chama cha TLP,  Agustine Mrema, amesema kazi kubwa iliyopo mbele yake kwa sasa ni kumwombea kura mgombea urais kupitia Chama Cha Mapinduzi (CCM), Dk. John Pombe Magufuli, ili  ashinde kwa kishindo katika uchaguzi mkuu wa mwezi Oktoba, mwaka huu.
Mrema ambaye pia anagombea ubunge jimbo la Vunjo kupitia chama chake, amesema baada ya kujipima na kutafakari kwa kina yeye na chama chake waliona ni bora kuunganisha nguvu ili ushindi wa Dk. Magufuli uwepo na yeye abaki kwenye ubunge.

Amebainisha kuwa,  vyama vya upinzani vinamwona kama kachanganyikiwa ila wao ndiyo waliocjjhanganyikiwa, kwani kila chama kimemsimamisha mgombea urais ila hakuna anayeweza kushindana naye hata robo, kwa makubwa aliyoyafanya kwa kipindi cha muda mfupi.,

Article Categories:
Habari

Leave a Reply

Your email address will not be published. Required fields are marked *