Mpigie Kura Rosa Ree Hapa Kama Rapper BORA wa Kike Africa Tuzo za Afrimma

September 18, 2020

 Rapper wa Kike Rosa Ree amefanikiwa kuwepo katika orodha ya wasanii wanaowania tuzo za AFRIMMA Mwaka huu, Amechaguliwa kuwania vipengele viwili ambavyo ni Mwanamuziki bora wa kike Afrika Mashariki (Best Female East Africa)Rapper bora wa Kike Afrika {Best Female Rap Act}Ili Kumpigia kura Bonyeza Link HAPA kisha tick Jina Lake katika vipingele hivyo viwili alafu Shuka chini Bonyeza Cast your VoteNOTE: Hakikisha Umeweka Majina yako na Email Yako kwanzaLINK ,

 

Rapper wa Kike Rosa Ree amefanikiwa kuwepo katika orodha ya wasanii wanaowania tuzo za AFRIMMA Mwaka huu, Amechaguliwa kuwania vipengele viwili ambavyo ni 

 1. Mwanamuziki bora wa kike Afrika Mashariki (Best Female East Africa)
 2. Rapper bora wa Kike Afrika {Best Female Rap Act}

  Ili Kumpigia kura Bonyeza Link HAPA kisha tick Jina Lake katika vipingele hivyo viwili alafu Shuka chini Bonyeza Cast your Vote

  NOTE: Hakikisha Umeweka Majina yako na Email Yako kwanza

  LINK 

  ,

  Article Categories:
  Habari

  Leave a Reply

  Your email address will not be published. Required fields are marked *