Mpaka Home kwa Majanaba wa Arusha, Maisha Halisi “nauza Makopo, Kodi Elfu 25”

October 5, 2020

Lomunyaki Mollel (Markuba Majanaba) ni  jina maarufu hasa kwenye mashindano ya Bongo Star Search (BSS) kutokana na aina yake ya uimbaji,millardayo.com imefanya naye exclusive  interview kuhusiana na maisha yake ambapo amesema kazi anayoifanya na inayomuingizia kipato ni yakukusanya makopo barabarani nakuyauza na fedha anayoipata anaitumia kwenye mahitaji yake kama kulipa kodi ya shilingi elfu 25 kwenye chumba anachoishi.

“nauza kilo moja ya makopo shilingi mia moja,napita huko majalalani nayachukua nikichelewa kuamka sipati makopo,nina mtoto mmoja yuko kwa mama yake kutokana na maisha magumu mama akaondoka akaniacha,hapa kwa mwezi nalipa elfu 25 naficha kidogokidogo kiasi kikubwa cha fedha ambacho nilishawahi kukipata ni laki moja”-Majanaba

,

Article Categories:
Habari

Leave a Reply

Your email address will not be published. Required fields are marked *