Mo Dewji amsaka shabiki wa Simba aliyechaniwa jezi ” Mpira si uadui”, noreply@blogger.com (Muungwana Blog 3), on September 1, 2020 at 10:00 am

September 1, 2020

 Mwekezaji na mwenyekiti wa bodi ya wakurugenzi wa Simba Mo Dewji ameonyeshwa kukerwa na kitendo kilichofanywa na mashabiki wa timu ya Yanga ya kumshambuli na kumchania jezi shabiki wa Simba aliyekuwa ameudhuria katika siku ya kilele cha tamasha la mwananchi katika uwanja wa Mkapa Jijini Dar es Salaam.Shabiki huyo ameonekana kupitia video inayosambaa kwenye mitandao ya kijamii ikimuonyesha akipigwa na kuchaniwa jezi yake aliyokuwa amevaa.Kupitia instagramu yake Mo Dewji amepost video hiyo ya shabiki wa simba akishambuliwa na kuandika ujumbe huu;”Namtafuta shabiki huyu wa Simba aliyechaniwa jezi, nataka kukutana nae. Mpira ni Ushindani, Mpira ni Utani, Mpira sio Uadui!”,

 

Mwekezaji na mwenyekiti wa bodi ya wakurugenzi wa Simba Mo Dewji ameonyeshwa kukerwa na kitendo kilichofanywa na mashabiki wa timu ya Yanga ya kumshambuli na kumchania jezi shabiki wa Simba aliyekuwa ameudhuria katika siku ya kilele cha tamasha la mwananchi katika uwanja wa Mkapa Jijini Dar es Salaam.

Shabiki huyo ameonekana kupitia video inayosambaa kwenye mitandao ya kijamii ikimuonyesha akipigwa na kuchaniwa jezi yake aliyokuwa amevaa.

Kupitia instagramu yake Mo Dewji amepost video hiyo ya shabiki wa simba akishambuliwa na kuandika ujumbe huu;

“Namtafuta shabiki huyu wa Simba aliyechaniwa jezi, nataka kukutana nae. Mpira ni Ushindani, Mpira ni Utani, Mpira sio Uadui!”

,

Article Categories:
Habari

Leave a Reply

Your email address will not be published. Required fields are marked *