Mo Dewji Akutana na Shabiki wa SIMBA Aliyechaniwa Jezi na Mashabiki wa Yanga, noreply@blogger.com (Udaku Special)

September 2, 2020

Mwenyekiti wa Bodi ya Wakurugenzi wa klabu ya Simba MOO’Dewji’ ametimiza ahadi yake ya kumtafuta shabiki wa Simba aliechaniwa Jezi na watani zao wa jadi Yanga.Mapema Jana Dewji alitangaza kumtafuta shabiki wa Simba aliyechaniwa jezi na mashabiki wanaoonekana kuwa ni mashabiki wa Yanga na kwa siku ya hii Leo, kutoka Kwenye Ukurasa Wa Twitter wa Muwekezaji huyo Moo Dewji Amepost Picha akiwa na shabiki huyo wa Simba aliechaniwa jezi yake. Kupitia ukurasa wake wa Twiter MOO amesema”Nimefurahi kukutana na wewe leo Bw. Kindio Hassan. Pole sana na changamoto uliokutana nayo”.MOO katika Siku ya Jana alisema kupitia Instagram yake ”Namtafuta shabiki huyu wa Simba aliyechaniwa jezi,nataka kukutana nae. Mpira ni Ushindani, Mpira ni Utani, Mpira sio Uadui!”,

Mwenyekiti wa Bodi ya Wakurugenzi wa klabu ya Simba MOO’Dewji’ ametimiza ahadi yake ya kumtafuta shabiki wa Simba aliechaniwa Jezi na watani zao wa jadi Yanga.

Mapema Jana Dewji alitangaza kumtafuta shabiki wa Simba aliyechaniwa jezi na mashabiki wanaoonekana kuwa ni mashabiki wa Yanga na kwa siku ya hii Leo, kutoka Kwenye Ukurasa Wa Twitter wa Muwekezaji huyo Moo Dewji Amepost Picha akiwa na shabiki huyo wa Simba aliechaniwa jezi yake.

 

Kupitia ukurasa wake wa Twiter MOO amesema”Nimefurahi kukutana na wewe leo Bw. Kindio Hassan. Pole sana na changamoto uliokutana nayo”.

MOO katika Siku ya Jana alisema kupitia Instagram yake ”Namtafuta shabiki huyu wa Simba aliyechaniwa jezi,nataka kukutana nae. Mpira ni Ushindani, Mpira ni Utani, Mpira sio Uadui!”

,

Article Categories:
Habari

Leave a Reply

Your email address will not be published. Required fields are marked *