Mmea Mkubwa Unaokula Nyama…., noreply@blogger.com (Udaku Special)

September 4, 2020

Mmea mkubwa unaokula nyama unajulikana kama ‘Montane Pitche’ wa aina ya ‘Nepenthes Rajah’ na una urefu wa sentimita 41Ulionekana Kisiwa cha Borneo mwaka 2011. Mmea huu ambao una kama dibwi (Pitch) unatumia majimaji yake kuwavutia na kuwanasa wadudu warukao kama buibui wakati mwingine hukamata hata mijusi na vyuraMimea mingine inayokula nyama ni Flypaper Plant, Cobra Lily na Venus FlytrapKatika yote hiyo uliovunja rekodi ya kula viumbe wakubwa ni huo Nepenthes Rajah ambao umeingia kwenye Rekodi ya Dunia,

Mmea mkubwa unaokula nyama unajulikana kama ‘Montane Pitche’ wa aina ya ‘Nepenthes Rajah’ na una urefu wa sentimita 41

Ulionekana Kisiwa cha Borneo mwaka 2011. Mmea huu ambao una kama dibwi (Pitch) unatumia majimaji yake kuwavutia na kuwanasa wadudu warukao kama buibui wakati mwingine hukamata hata mijusi na vyura

Mimea mingine inayokula nyama ni Flypaper Plant, Cobra Lily na Venus Flytrap

Katika yote hiyo uliovunja rekodi ya kula viumbe wakubwa ni huo Nepenthes Rajah ambao umeingia kwenye Rekodi ya Dunia

,

Article Categories:
Habari

Leave a Reply

Your email address will not be published. Required fields are marked *