Mliotutuma miaka 5 iliyopita tumeyafanya vizuri, tupeni tena miaka 5 mingine- JPM, noreply@blogger.com (Muungwana Blog 3), on August 29, 2020 at 11:54 am

August 29, 2020

 “Kazi tulizozifanya ndizo zimetufanya tuje kuomba tena ridhaa ili tuziendeleze zisije kukwama, tumenunua Ndege mpya 11, nane zimefika na tatu zinatengenezwa, katika Ilani mpya ya Uchaguzi tutanunua Ndege nyingine 5 mpya ndani ya miaka 5 ikiwemo ya mizigo”-JPM“Mliotutuma miaka 5 iliyopita tumeyafanya vizuri, tupeni tena miaka 5 mingine, tuendelee kuwa wamoja mambo mazuri makubwa yanakuja, tutaendelea kusimamia amani, umoja na mshikamano,tutaulinda Muungano na Mapinduzi ya Zanzibar, tutakuza uchumi, tutapunguza riba kwenye Mabenki”-JPM,

 “Kazi tulizozifanya ndizo zimetufanya tuje kuomba tena ridhaa ili tuziendeleze zisije kukwama, tumenunua Ndege mpya 11, nane zimefika na tatu zinatengenezwa, katika Ilani mpya ya Uchaguzi tutanunua Ndege nyingine 5 mpya ndani ya miaka 5 ikiwemo ya mizigo”-JPM

“Mliotutuma miaka 5 iliyopita tumeyafanya vizuri, tupeni tena miaka 5 mingine, tuendelee kuwa wamoja mambo mazuri makubwa yanakuja, tutaendelea kusimamia amani, umoja na mshikamano,tutaulinda Muungano na Mapinduzi ya Zanzibar, tutakuza uchumi, tutapunguza riba kwenye Mabenki”-JPM

,

Article Categories:
Habari

Leave a Reply

Your email address will not be published. Required fields are marked *