Mkosoaji wa Rais Putin Nalvalny amesambaza picha yake akitembea, on September 19, 2020 at 5:00 pm

September 19, 2020

 Mwanasiasa wa upinzani wa Urusi Alexei Navalny ameonekana akishuka ngazi katika picha aliyosambaza kupitia mtandao wa instagram leo hii, ikiwa ni siku tano baada ya hospitali inayompatia matibabu ya mjini Berlin kusema ameondolewa mashine ya kumsaidia kupumua na anaweza kumudu pia kupumua mwenyewe. Navalny, ambae ni mpinzani kiongozi wa Rais Putin, aliugua mwezi uliopita jimboni Siberia na akasafirishwa kupelekwa Berlin. Ujerumani imesema vipimo vya kimaabara katika mataifa matatu vimebaini kuwa aliwekewa sumu aina ya Novichok, ambayo inauwa mishipa ya fahamu, na mataifa ya Magharibi yameshinikiza kupata maelezo kutoka Urusi. Katika ukurasa wa Instagram Navalny ameandika ” Acha nieleze namna ninvyoendelea kupata unafuu. Tayari imeshaonenekana njia kuwa nyeupe sana,” ingawa bado ndefu.”,

 

Mwanasiasa wa upinzani wa Urusi Alexei Navalny ameonekana akishuka ngazi katika picha aliyosambaza kupitia mtandao wa instagram leo hii, ikiwa ni siku tano baada ya hospitali inayompatia matibabu ya mjini Berlin kusema ameondolewa mashine ya kumsaidia kupumua na anaweza kumudu pia kupumua mwenyewe. 

Navalny, ambae ni mpinzani kiongozi wa Rais Putin, aliugua mwezi uliopita jimboni Siberia na akasafirishwa kupelekwa Berlin. Ujerumani imesema vipimo vya kimaabara katika mataifa matatu vimebaini kuwa aliwekewa sumu aina ya Novichok, ambayo inauwa mishipa ya fahamu, na mataifa ya Magharibi yameshinikiza kupata maelezo kutoka Urusi. 

Katika ukurasa wa Instagram Navalny ameandika ” Acha nieleze namna ninvyoendelea kupata unafuu. Tayari imeshaonenekana njia kuwa nyeupe sana,” ingawa bado ndefu.”

,

Article Categories:
Habari

Leave a Reply

Your email address will not be published. Required fields are marked *