Mke Amuomba Mumewe Aoe Rafiki Yake ili Naye Awe na Ndoa

September 7, 2020

Wanandoa hao waliojaliwa Watoto wawili, wameridhia kumpokea Mwanamke mwingine katika ndoa yao ili asibaki mpwekeWanawake hao pichani wanaelezwa kuwa marafiki walioshibanaMmoja wa wanawake hao alimshawishi mumewe amuoe rafiki yake baada ya kuona hajaolewaJe, mdau wetu unaweza kumshawishi mumeo amuoe rafiki yako?,

Wanandoa hao waliojaliwa Watoto wawili, wameridhia kumpokea Mwanamke mwingine katika ndoa yao ili asibaki mpweke

Wanawake hao pichani wanaelezwa kuwa marafiki walioshibana

Mmoja wa wanawake hao alimshawishi mumewe amuoe rafiki yake baada ya kuona hajaolewa

Je, mdau wetu unaweza kumshawishi mumeo amuoe rafiki yako?

,

Article Categories:
Habari

Leave a Reply

Your email address will not be published. Required fields are marked *