Mkandarasi miradi ya maji watakiwa kufanya kazi masaa 24,

October 9, 2020

 

Mhandisi Jackson Kyelekule kutoka kampuni ya Musons Engeneers Ltd akionyesha hatua zilizofanyika katika ujeni wa tanki la kuhifadhi maji, ujenzi huo unaendelea na utakamilika mwezi Novemba hivyo kuimarisha hali ya upatikanaji maji kwa wananchi .

Naibu Katibu Mkuu, Wizara ya Maji Mhandisi Nadhifa Kemikimba (kulia) akiangalia mtambo wa kusukuma maji katika chanzo cha maji cha Rubambagwe ambacho kimefanyiwa maboresho ili kuimarisha huduma ya maji kwa wananchi wa Chato.

,

Article Categories:
Habari

Leave a Reply

Your email address will not be published. Required fields are marked *