Mgombea Urais wa CCM Ndugu JOHN POMBE MAGUFULI Atikisa Kigoma

September 17, 2020

CCM YATIKISA MKOANI KIGOMA: Mgombea Urais wa CCM Ndugu JOHN  POMBE MAGUFULI ameendelea kufanya Kampeni ya Kuwania Awamu ya Pili ya Urais huku akipokelewa kwa Shangwe na Umati Mkubwa katika Maeneo ya Biharamulo, Nyakanazi, Kakonko, na Kasulu.  Mgombea Huyo Ambaye takwimu huru zinaonesha atashinda kwa zaidi ya asilimia 85 ameshamaliza mikoa zaidi ya Kumi hadi Sasa katika kampeni inayoonekana kuwa yakisayansi na yenye mafanikio kwa Chama Cha Mapinduzi @ccmtanzania @MagufuliJP#VitendoVinaSauti#T2020JPM✅#Magufuli5Tena#ChaguaMaendeleo,

CCM YATIKISA MKOANI KIGOMA: Mgombea Urais wa CCM Ndugu JOHN  POMBE MAGUFULI ameendelea kufanya Kampeni ya Kuwania Awamu ya Pili ya Urais huku akipokelewa kwa Shangwe na Umati Mkubwa katika Maeneo ya Biharamulo, Nyakanazi, Kakonko, na Kasulu.  Mgombea Huyo Ambaye takwimu huru zinaonesha atashinda kwa zaidi ya asilimia 85 ameshamaliza mikoa zaidi ya Kumi hadi Sasa katika kampeni inayoonekana kuwa yakisayansi na yenye mafanikio kwa Chama Cha Mapinduzi @ccmtanzania @MagufuliJP

#VitendoVinaSauti

#T2020JPM✅

#Magufuli5Tena

#ChaguaMaendeleo

,

Article Categories:
Habari

Leave a Reply

Your email address will not be published. Required fields are marked *