Mgombea Urais wa CCM Ndugu JOHN POMBE MAGUFULI amefanikiwa kuwaunganisha wana-KIGOMA

September 18, 2020

*NGOME YAVUNJWA KIGOMA* : Mgombea Urais wa CCM Ndugu JOHN  POMBE MAGUFULI amefanikiwa kuwaunganisha wana-KIGOMA kwa Ujumla wao katika Mkutano wa Kihistoria uliofanyika katika Viwanja Vya Lake Tanganyika. Kwa Umoja wao wana KIGOMA wameitikia na Kumpokea kwa Makumi Elfu. Kigoma Yote Kupata wabunge wa CCM 2020.  Takwimu zinaonesha T2020JPM atashinda kwa zaidi ya asilimia 85 huku Hali ya Kukubalika Miongoni mwa wananchi ikiendelea kuongezeka kila siku @ccmtanzania @MagufuliJP#VitendoVinaSauti#T2020JPM✅#KuraKwaMagufuli2020#ChaguaMaendeleo,

*NGOME YAVUNJWA KIGOMA* : Mgombea Urais wa CCM Ndugu JOHN  POMBE MAGUFULI amefanikiwa kuwaunganisha wana-KIGOMA kwa Ujumla wao katika Mkutano wa Kihistoria uliofanyika katika Viwanja Vya Lake Tanganyika. Kwa Umoja wao wana KIGOMA wameitikia na Kumpokea kwa Makumi Elfu. Kigoma Yote Kupata wabunge wa CCM 2020.  Takwimu zinaonesha T2020JPM atashinda kwa zaidi ya asilimia 85 huku Hali ya Kukubalika Miongoni mwa wananchi ikiendelea kuongezeka kila siku @ccmtanzania @MagufuliJP

#VitendoVinaSauti

#T2020JPM✅

#KuraKwaMagufuli2020

#ChaguaMaendeleo

,

Article Categories:
Habari

Leave a Reply

Your email address will not be published. Required fields are marked *