Mgombea Urais Kwa tiketi ya CCM Dkt John Pombe Magufuli Kunguruma Kesho Zanzibar

October 2, 2020

 JPM ndani ya Zanzibar. Mgombea Urais Kwa tiketi ya CCM Dkt John Pombe Magufuli Kesho Jumamosi Oktoba 03, 2020 ataunguruma Visiwani Zanzibar Kwenye Mwendelezo wa Kampeni za Kunadi Sera bora za CCM, Ilani na Kuomba Kura Kwenye Mkoa wa Mjini Magharibi, Zanzibar. Mitambo imehamia Zanzibar. Diamond Platnumz na Wasanii wengine wengi Watakuwepo. #T2020JPM

,

Article Categories:
Habari

Leave a Reply

Your email address will not be published. Required fields are marked *