Mgombea mmoja wa Urais analaumu eti tunajenga Barabara pana kuliko zote Duniani, sio lazima kila kizuri kikubwa kiwe Ulaya- JPM,

October 9, 2020

 “Tunajenga Barabara ya njia 8 kutoka Kimara hadi Kibaha kwa fedha zetu, nilisikia Mgombea mmoja wa Urais akilaumu eti tunajenga Barabara pana  tena anadai ametembea Nchi nyingi hajawahi kuona Barabara pana kama hii,sio kweli,Marekani kuna Barabara ina njia 26”-JPM

“Mgombea mmoja wa Urais analaumu eti tunajenga Barabara pana, hata kama ingekuwa kweli Barabara ni pana kuliko zote Duniani sioni ubaya, sio lazima kila kizuri kikubwa kiwe Ulaya au kwingine, mbona Mungu alimuweka Mtu wa kwanza Tanzania anashangaa kitu gani?”-JPM

,

Article Categories:
Habari

Leave a Reply

Your email address will not be published. Required fields are marked *